bbc.co.uk navigation

teknolojia wiki hii

Imebadilishwa: 23 Februari, 2012 - Saa 17:12 GMT

Media Player

Mojawapo ya tovuti kubwa ya kubadilishana muziki ya Pirate Bay imetangaza kuwa itafunga ifikapo tarehe 29 mwezi Februari.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Mojawapo ya tovuti kubwa ya kubadilishana muziki ya Pirate Bay imetangaza kupitia Facebook, kuwa itafunga ifikapo tarehe 29 mwezi Februari. Kwingineko, Microsoft imeishtumu Google kwa kukiuka kanuni za kuhifadhi faragha za wateja.

BBC © 2012 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.