Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa Mwisho wa Msimu wa Pili

2 Februari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 09:09 GMT

Mjadala wa mwisho wa msimu wa pili wa Sema Kenya unaangazia uwajibikaji, mizozo, ushirikiano na utekelezaji katika mfumo wa ugatuzi.