Huwezi kusikiliza tena

Siku mia moja za Jubilee uongozini

28 Julai 2013 Imebadilishwa mwisho saa 11:43 GMT

Sema Kenya inatathmini rekodi ya maendeleo ya serikali ya muungano ya Jubilee siku mia moja tangu kushika madaraka.

Wakati wa kampeni za uchaguzi, muungano wa Jubilee ulitoa ahadi nyingi. Je, mambo yamebadilika kiasi gani?