bbc.co.uk navigation

Makala Ya Biashara

Imebadilishwa: 19 Oktoba, 2011 - Saa 12:13 GMT

Biashara na Uchumi kila Ijumaa. Ubepari unatikisika uchumi wa dunia ni dhaifu. Hamkani si shwari tena. Ungana na Ally Mutasa kusikia yaliyojiri katika ulimwengu wa bishara na Uchumi wiki hii. Katika kipindi ambacho dunia inashuhudia mtikisiko wa kiuchumi na matatizo ya kifedha, utasikia yaliyojiri na yatakayojiri duniani lakini hata katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.

Zaidi Makala

BBC © 2012 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.