Kuhusu Idhaa ya Kiswahili ya BBC
Idhaa yetu inaajiri waandishi wa habari na watangazaji kutoka nchi zote zinazozungumza Kiswahili na vile vile katika sehemu nyingine za Afrika.
Mkuu wa Idhaa: Solomon Mugera.
Watangazaji waandamizi:
Ali Saleh - Habari
Alex Mureithi - Michezo
Watangazaji:
Idd Seif, Suluma Kassim, Charles Hillary, Mariam Omar, Hassan Mhelela, Peter Musembi, Flora Nducha, Salim Kikeke na Zuhura Yunus.
Ofisi ya Afrika Mashariki, Nairobi:
Mhariri: Catherine Fellows.
Watangazaji waandamizi:
Caroline Karobia, Josphat Makori na
Noel Mwakugu.
Watangazaji:
John Nene, Ruth Nesoba, Anne Mawathe, Waziri Hamsini, Zainab Deen, Ng'endo Angela, Gladys Njoroge, Robert Kiptoo, Anne Waithera,
Dina Gahamanyi, Zawadi Machibya, Ben Mwang'onda na Kamau Kang'ethe.
Wengine ni Muliro Telewa [Kisumu], Wanyama Chebusiri [Eldoret ], Joseph Odhiambo [Mombasa] na Bashkas Jugsoday[Kaskazini Mashariki].
Dar Es Salaam, Tanzania:
Mhariri: Vicky Ntetema
Waandishi wa Habari:
Abdallah Majura [Dar Es Salaam], John Ngahyoma [Dar Es Salaam], Erick David Nampesya [Mwanza], Ally Saleh [Zanzibar] na Jamhuri
Mwavyombo [Arusha], Josepaht Mwanzi [Tanzania]
Uganda:
Ali Mutasa na Joshua Mmali
Burundi:
Kazungu Lozy
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo:
Lubunga Byaombe na Patrice Chitera
Rwanda:
Yves Buchana na Ismail Misigaro
Comoro:
Abubakar Omar (Muandishi wa kijitegemea)
Nigeria:
Collins Atohengbe (Muandishi wa kujitegemea)
Msumbiji:
Emmanuel Camillo (Muandishi wa kijitegemea)
Afrika ya Kusini:
Omar Mutasa (Muandishi wa kujitegemea)