Skip to main contentAccess keys helpA-Z index
BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 17 Agosti, 2009 - Imetolewa 13:03 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Mshindi wa Faidika na BBC
 
Safari ndefu ya kumtafuta kijana mwenye kipaji cha ujasiriamali ilikamilika Mombasa mwezi Agosti wakati mwenyeji Jane Mweni alipotwaa taji la Faidika na BBC 2009, huu ni muhtasari katika picha mambo yalivyokuwa......

Mshindi wa Faidika na BBC 2009 Bi Jane Mweni, kutoka Kenya, akitabasamu na kukumbatia tuzo yake baada ya matokeo kutangazwa, Mombasa tarehe 13 Agosti 2009.

Mshindi wa tatu Bi Nyota Anjelique kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akimpongeza Bi Mweni kwa kunyakua nafasi ya kwanza. Walioketi ni vijana wengine wanne walioingia fainali.

Mgeni rasmi wa Faidika na BBC 2009, Bi Nelly Munala kutoka Jumuiya ya Madola akisomba hotuba ya ufunguzi huku akisaidiwa na Solomon Mugera mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili Bw Solomon Mugera akizungumza na mshindi wa Faidika na BBC 2009, Bi Jane Mweni kwenye matangazo ya BBC baada ya ushindi wake.

Hapa hanipokonyi mtu, hii tuzo ni yangu mimi mshindi wa Faidika na BBC 2009. Bi Mweni na ushahidi wa ushindi wake......

 
 
VIUNGO VYA MTANDAO WA HAPA HAPA
Picha za Faidika
13 Agosti, 2009 | Vivutio
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha