Skip to main contentAccess keys helpA-Z index
BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 18 Juni, 2009 - Imetolewa 16:09 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Sarufi
 
Wafanyakazi na watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.


Unapotangaza kwa lugha ya Kiswahili unatakiwa uwe na uelewa wa sarufi ya lugha yenyewe. Ni muhimu kupangilia kwa ufasaha sentensi zako kwa unayoyatangaza.

Jitahidi kupangilia unachokusudia kukieleza kwa ufasaha wa kisarufi. Kwa mfano nchi hizo zote mbili zitakuwa na mazungumzo ya pamoja.

Hapa nchi kawaida haziwezi kuzungumza ila kwa Kiswahili sahihi ni viongozi wa nchi hizo mbili watakutana ama watafanya mazungumzo.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha