BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 06 Agosti, 2008 - Imetolewa 13:41 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Picha za Faidika na BBC
 

Washindani wa Faidika na BBC 2008

Washindani wa Faidika na BBC 2008, kutoka kushoto Witness Omoga [Kenya], Apolinary Joseph Laksh [Tanzania], Ashura Kisesa [Burundi - mshindi], Derick Kajukano [Uganda] na Rangira Aime Frederick [Rwanda].

Mshindi wa Faidika na BBC, Ashura Kisesa akiwa na meneja wa Faidika na BBC, Salim Kikeke.

Meneja wa Faidika na BBC, Salim Kikeke akizungumza "live" kwenye Dira ya Dunia wakati wa kutafuta mwakilishi wa Burundi katika Faidika na BBC 2008, aliyeshikilia kinasa sauti ni Ramadhani Kibuga mwandishi wetu wa Burundi.

Tom Japanni, al maarufu wa kipindi cha Kimasomaso akiwa na mtangazaji mwenzake Amina Aboubakar, wakifanya mazoezi ya kurusha Faidika na BBC 2008 kutoka Kampala, pembezoni ni Solomon Mugera, mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwatupia jicho.

Salim Kikeke, meneja wa Faidika na BBC 2008 akifichua tuzo iliyotolewa kwa mshindi wa 2008.

Jaji Madina Juma wa Rwanda akitangaza mshindi wa kitaifa, mwenye fulana nyeusi ni Yves Bucyana mwandishi wa BBC nchini Rwanda.

Arnold Kweka mmoja wa majaji akihojiwa na Anne Mawathe katika matangazo ya BBC baada ya mshindi kupatikana.

Arnold Kweka, kutoka Tanzania, mmoja wa majaji akihojiwa na Anne Mawathe katika matangazo ya BBC baada ya mshindi kupatikana.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha