|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Chuo cha Uandishi Habari cha BBC kinayo furaha kuzindua mwongozo maalum wa uandishi wa habari katika lugha ya Kiswahili -
huduma hii inatolewa bure kwa watu wote.
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Epuka matamshi na maneno ya mitaani yanayofanya unachokitangaza kionekane mzaha.
|
Hili ni jambo muhimu sana, katika kazi ya utangazaji unatakiwa kutamka maneno kwa ufasaha.
|
Unapotangaza kwa lugha ya Kiswahili unatakiwa uwe na uelewa wa sarufi ya lugha yenyewe.
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||