Chuo cha uandishi wa habari kinatoa ushauri kuhusu ufundi wa uandishi, kuripoti kwa kufuata misingi ya kutopendelea upande wowote na kwa lugha sahihi. Tovuti hii imekusanya ujuzi na uzoefu wa waandishi katika BBC na kuusambaza dunia nzima bila ya malipo.